Leo March 28, 2018 Waliokuwa wateja wa benki ya Meru Community iliyopo Leganga Arusha wamefika katika benki hiyo kwa ajili ya kulipwa Amana zao baada ya benki hizo kufutiwa leseni miezi mitatu iliyopita.
Benki hizo pamoja na nyingine tatu zilifutiwa leseni na kufilisiwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), huku wateja wake wakielekezwa kufika leo kwa ajili ya kurejeshewa fedha zao.
0 comments :
Post a Comment