Makubwa:Kisa Cha Mwanamke Aliye Bakwa Na Sokwemtu Wa Kichawi Kwa Sababu Ya Usaliti Wa Mapenzi.

IMESIMULIWA NA   DOKTA. MUNGWA KABILI
0744  000  473

Tukio hili lilitokea  mwaka  1994  katika  kijiji  kimoja kilichopo  katika  mkoa mmoja uliopo  magharibi  mwa  Tanzania.

                   CHANZO   CHA   KUBAKWA   :
Chanzo  cha   tukio  hili  ni  usaliti  ulio fanywa na  binti  huyo  dhidi ya  mwanaume  ambae  aliwekeza  muda, afya, mali na  pesa  zake  kwa  mwanamke  huyo  mrembo  akitumaini kuwa  kwa  kufanya  hivyo  atapata  nafasi  ya  kumuoa  mwanamke huyo  aliyetikisa  kijiji  kwa  uzuri  wake  lakini  badala  yake  mwanamke  huyo  akaishia  kumsaliti   na  kutaka  kuolewa  na  mwanaume  mwingine.

HISTORIA   FUPI  YA  BINTI  HUYU NA  JINSI  ALIVYO  INGIA  KATIKA  UHUSIANO  NA  MWANAUME WAKE  WA  KWANZA.
Binti huyo  mrembo  alizaliwa mwaka  1975  katika  kijiji  kicho. Alianza   darasa  la  kwanza  mwaka 1983  na  kuhitimu  darasa  la  saba  mwaka  1989  akiwa  na umri wa  miaka  kumi  na  nne.

Hakufanikiwa  kuchaguliwa  kuendelea  na  masomo  ya  sekondari na  wazazi  wake  kwa  kuwa  hawakuwa  na  uwezo  wakampeleka  kwa  shangazi  yake  aliye  kuwa  anaishi  wilayani ili aweze kujifunza  kushona cherehani.

Hii ilikuwa ni  mwanzoni  kabisa  mwa  mwaka wa 1990.

Mwaka 1992  akiwa  amesha hitimu  mafunzo  yake  na  sasa  akawa anapata  uzoefu  wa  kazi  ya  kushona , binti huyo alikutana  na  kijana  mmoja na  kuanzisha  nae urafiki  ulio  zaa  mapenzi na  baadae  uchumba.

Kijana  huyu  alikuwa na  umri  wa miaka thelathini. Alitoka  katika kijiji  jirani  na  anacho toka  binti  huyu.

Kijana  huyu  alikuwa  anajishughulisha  na  kilimo ambacho  alikifanya  kijijini  kwao  na  hapo  senta   alikuwa  anajishughulisha  na  biashara  ya  genge.

Kijana  huyu  ingawa  hakuwa  tajiri  lakini  pesa ya  chakula  ilikuwa  haimpigi  chenga.

KIJANA  ANATAMBULISHWA  NYUMBANI KWAO  BINTI
Mwaka 1993  mwanzoni   kijana  huyu  alienda  kwao  na  huyo  binti  kwa  ajili  ya  kujitambulisha rasmi  ambapo posa  yake  ilikubaliwa.

MAMA  WA BINTI  APATA  MARADHI YA  FIGO
Mwaka  1993  mwishoni, mama  wa binti  huyo aligundulika kuwa na  maradhi  ya  figo  ambapo  ilihitajika  figo  moja ili  kuokoa uhai  wa  mama  huyo.

MCHUMBA  WA BINTI  ANAJITOLEA  KUTOA  FIGO  YAKE
Taarifa  za kuhitajika  figo  moja  ili  kuokoa  maisha  ya  mama  yake zilimchanganya  sana  binti  huyo  kama  zilivyo  wachanganya  wana  familia  wengine.

Hawa  kuwa  na  budi  Zaidi  ya kufanya utaratibu  ili  mama yao  apate figo moja.  Katika  kufanikisha  hilo, ndugu  na jamaa wa mama  wa  binti  wakaanza  kufanya  utaratibu  wa  kutafuta  mtu katika  familia au ukoo ambae anaweza  kujitolea  kutoa  figo  yake.

Jamaa  yeye  mwenyewe  bila  hata kuombwa na  binti  alimwambia  binti kuwa yupo tayari  kutoa  figo  kwa ajili  ya  mama  ake.

Jambo  hili  lilimshangaza  sana  binti na  alipo ijulisha  familia  yake  walishangaa  kuona  upendo  wa  ajabu  ulio onyeshwa  na  kijana  huyo.
 
Taratibu  zikafanyika  na  ikaonekana  kitaalamu  kwamba  figo ya  jamaa  inafaa, basi  jambo  hilo  likafanyika  kwa  mafanikio makubwa.

BINTI   ANAPATA  MCHUMBA MWINGINE
Katika hali ya kushangaza, wakiwa  bado  katika  uchumba, binti  huyo  alikutana  na mwanaume mwingine  ambae  alionekana kuwa  na  uwezo  mkubwa  sana  kuliko  mchumba  wa  binti  huyo.

Hii  ilikuwa mwanzoni  mwa mwezi wa Juni  mwaka 1994.

Mwanaume  huyu  mpya, alikuwa  msomi, na  mwenye uwezo  mkubwa  kifedha  ambae alikuwa anafanya  kazi kwenye  shirika  moja  la  kimataifa  ambalo lilikuwa  na  ofisi  yake  katika  wilaya  kinacho  patikana  kijiji  alichoishi  binti huyu.

Kwa nguvu  ya  pesa aliyo  kuwa nayo, jamaa aliweza kufanya  mipango  ya  kujitambulisha  nyumbani kwao na  binti  haraka haraka  na ikapangwa siku  rasmi ya kwenda kutoa  mahari nyumbani kwao na binti.

JAMAA  ANAPATA  TAARIFA  ZA  BINTI  KUPATA  MCHUMBA  MWINGINE ..
Familia  ya  binti  hawakutaka  jambo  hili lijulikane na mchumba  wa binti  huyo  hivyo  walipanga  kufanya  jambo  hilo  haraka  haraka  na  kwa siri  kubwa  sana.

Lakini hata  hivyo, duniani  hakuna  siri  ya  watu wawili, wapo wasamaria  walio kuwa  wanajua  kuhusu  uchumba  kati  ya  binti  na  jamaa  huyo  na  ambao  hawakufurahishwa  na mpango  wa  familia  ya  binti  kumuozesha  binti  huyo  kwa  mwanaume  mwingine, na hivyo  kwenda kumjulisha  jamaa.

Jamaa  hakuamini  na  alichanganyikiwa  sana na  aliunganisha  dot  kati  ya  maelezo  aliyopewa  na  mabadiliko  ya  tabia  na  kimuonekano  kutoka  kwa  binti  na  familia  ya  binti.

Binti  alianza  kuonekana  akiwa anavaa  mavazi  mazuri  kuliko  kiasi  cha pesa  alichokuwa  anampa.  Akapunguza  heshima  na  mawasiliano  kwa jamaa.  Baba  na  mama wa  binti  nao  wakaanza  kumbadilikia  jamaa. Kwa mfano  alikuwa  akiomba  binti amsindikize  mjini  anakataliwa  bila  sababu  ya  msingi, tofauti  na  ilivyo  kuwa  awali.

Pia  akashangaa  kumuona  binti  anauza  duka kubwa bila  kujua  duka  ni  la  nani, achilia  mbali  kumtaarifu jamaa.

Mambo  haya  yalimchanganya  sana  jamaa  na  kumuumiza  moyo  mno.

Mtu mmoja  wa  karibu na  jamaa  akamwambia  pengine binti  na  familia  yake  wamekubadilikia  kwa  sababu  unachelewesha  ndoa, fanya  mipango  ya  ndoa  haraka  na  bila shaka  mambo  yatakuwa  mazuri kama zamani.

MPANGO  WA  JAMAA  UNAKATALIWA NA  BABA  WA  BINTI.
Jamaa  akamchukua  mshenga  wake, wakaenda  hadi  kwa  baba  wa  mchumba  wake  na  kumueleza  kwamba  sasa  anataka  afanye mpango  ili  yeye  na  binti  huyo  wafunge  ndoa  haraka  iwezekanavyo  lakini  kwa  mshangao  wake, baba  wa  binti  akamwambia  ngoja  awashirikishe  wanandugu  kwanza. Jambo  hili  lilimtia  hasira sana  jamaa.

TUKIO   LA  BINTI  KUBAKWA  NA  SOKWE  MTU.
Ilikuwa ni  mwezi  Desemba  1994. Siku  hii ilikuwa  ni  siku  ambayo mwanaume mpya, mshenga  wake, baba ake, dada  zake  na  baadhi  ya ndugu  zake  walikuwa  wameenda   nyumbani kwao na  binti huyo kwa  ajili  ya  kutoa  mahari  rasmi.

Wakati  taratibu  za  kutambulishana  zikiwa  zinaendelea, lilitokea  kundi  kubwa  la  sokwe mtu  kutoka  kwenye  msitu  wa  miti  uliokuwa karibu  na nyumba  yao na huyo  binti.

Kundi hili  la  sokwe mtu  wasio  wa kawaida  liliingia ndani  hadi mahali  walipokuwa   wamekaa  familia za  pande  zote  mbili  yani upande wa binti na  upande wa mwanaume na kuzua  taharuki kubwa.

 Sokwe  mtu  mmoja   aliingia hadi  mahali  alipokuwa amekaa  binti  huyo, akamshika na  kutoka  nae  nje  sehemu  ya  uwazi   ambapo  alimchania  nguo  zake  na  kuanza  kumbaka.

Binti  na  wanafamilia  walibaki wanapiga  kelele za  kuomba  msaada  lakini  kelele  zao  hazikumzuia  sokwe mtu  huyo kuendelea  kumbaka binti  huyo.

Kelele za  wanafamilia zili washtua  wanakijiji ambao  mamia  kwa  mamia  walikuja  katika  eneo  la  tukio  kuona  kunani.

Walipofika  katika  eneo la  tukio  walikuta  sokwemtu  akiwa anambaka binti  huku ndugu na jamaa  wa binti  huyo  pamoja  na ndugu  na  jamaa  wa mwanaume  aliye taka  kumtolea  mahari  binti  huyo  wakiwa  wanajaribu  kupambana  na  sokwe huyo  pamoja  na sokwe  wale  wengine  bila  mafanikio.

Wanakijiji  walivyo  kuja  wakaongeza  nguvu  na  wazee  wakimila  wa  kijiji na  kuanza  kupambana  na  wale sokwemtu  ambao walikimbia  na  kupotelea  msituni.

Wakati  huo huo  sokwe  aliyekuwa anambaka  yule  binti  alikuwa tayari  ameshamaliza  kufanya  tendo na yeye  akakimbia  na  kupotelea  msituni  kimiujiza.
 
Binti  huyo  ambae  kwa  wakati  huo  alikuwa anagaa  gaa  kwa  maumivu  makali  uwanjani hapo   alichukuliwa na wazee  wa  kimila  kwa  ajili  ya  kupewa  huduma  ya  kwanza na kufanyia  matambiko.

MATOKEO   YAKE
·Yule mwanaume  aliekuja  kumchumbia  yule  binti  aliondoka na  hakurudi  tena  wala  hakutaka  kusikia  chochote  kuhusu  mwanamke  huyo.  Asingeweza  kuishi  na mwanamke  ambae amebakwa  na  sokwemtu  huku yeye,wanafamilia  yake  na  kijiji  kizima  wakishuhudia.
  • Binti  alijiua
  • Familia  ya  nzima  ya  binti  huyo ilinyanyapaliwa.
  • Mama wa  binti  aliwehuka na  kutoweka  kijijini hapo
  • Mdogo  wa  binti  alikimbilia  kwa  shangazi  yake kule wilayani lakini  haikumchukua  muda  mrefu nay eye  alijiua
  • Baba  wa  binti  aliwehuka  na  kufa miaka  miwili  baadae.

FUNZO :  USALITI  KATIKA  MAPENZI   IWE  UMEFANYWA  NA  MWANAMKE  AU  MWANAUME NI  MBAYA  SANA, UNAWEZA  KUKULETEA  MADHARA  MAKUBWA  KAMA MADHARA  YALIYO  ITOKEA  FAMILIA  YA  BINTI  HII.

CHANZO  KIKUU  CHA  USALITI  KATIKA MAPENZI  NI TAMAA. WACHA TAMAA  TAMAA  MBAYA  SANA.

Katika  siku  zijazo  nitaandika  Makala  nikielezea  kwa  kina  jinsi  wachawi  wanavyo weza kutengeneza  sokwe mtu  wa  kichawi  kwa  kwa  ajili ya  kuwatumia  kulipa  kisasi  dhidi ya  wasaliti  katika  mapenzi  pamoja na  kinga  ya  kuzuia  kudhuriwa  na  uchawi  kama  huu.

IMESIMULIWA  NA  DOKTA MUNGWA  KABILI…..0744 000 473
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment