PICHA 3: Ronaldo akijiachia na watoto wake

Staa wa soka wa Real Madrid Cristiano Ronaldo tayari amerejea Hispania baada ya mapumziko mafupi aliyokuwepo akiitumikia timu yake ya taifa ya Ureno katika michezo ya kimataifa ya kirafiki iliyopo katika kalenda ya FIFA.
Ronaldo ameonekana mchana wa leo baada ya kurejea Hispania akijiachia na watoto wake katika matembezi ikiwa ni sehemu ya mapumziko yake, Ronaldo ana watoto wanne, Cristiano Ronaldo JuniorAlana Martina na mapacha wawili.
Leo aliamua kutoka na watoto wake wadogo watatu huku akiambatana na mpenzi wake Georgina RodriguezRonaldo amerejea Hispania baada ya kuiongoza Urenokupata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Misri na game dhidi ya Uholanzi waliyopoteza kwa magoli 3-0.
VideoMAGOLI: Samatta na Kichuya walivyowaua Congo leo March 27, Full Time  2-0

SOMA NA HIZI

TUPIA COMMENTS

ADVERTISEMENT

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment