Leo March 29, 2018 Wabunge na Madiwani wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamewasili kwenye ubalozi wa umoja wa ulaya kushinikiza kupatiwa dhamana viongozi wa chama hicho akiwemo Freeman Mbowe.
Miongoni mwa Viongozi waliofika katika ubalozi huo ni Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, Meya wa Ubungo Bonface Jacob ambapo wametahadhalisha usalama wa Viongozi hao pamoja wafuasi wa chama hicho.
0 comments :
Post a Comment