Kutoka Kenya mwanamke ambaye alishikiliwa na polisi kwa makosa ya kumfungia ndani binti yake wa kazi na kutemtesa kwa muda wa miaka minne mfululizo amefikishwa mahakamani.
Mwanamke huyo anayejulikana kwa jina la Beatrice Muthoni Nderitu, jana March 29, 2018 alisimama mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kiambu Stella Atambo kujibu mashtaka hayo.
Beatrice anadaiwa kumfungia ndani binti yake huyo wa kazi Mercy Mwake mwenye umri wa miaka 25, nyumbani kwake Runda, Jijini Nairobi na mashtaka mengine yanaandaliwa dhidi yake
0 comments :
Post a Comment