Simba, Yanga kukutana Morogoro


Kuelekea mchezo wa watani wa jadi Simba dhidi ya Yanga Jumapili Aprili 29, 2018 tayari Simba ipo mkoani Morogoro kwa ajili ya kambi ya maandalizi kabla ya mchezo huo.

Jana jioni Simba ilifanya mazoezi kwenye uwanja wa Chuo cha Biblia Highland kwenye mji wa Bigwa nje kidogo ya manispaa ya Morogoro.

Inaelezwa kwamba Yanga nao watatia kambi mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo.

Kivutio kitakuwa pale ambapo timu zote zitahitaji kuutumia uwanja wa chuo cha Highland kwa ajili ya mazoezi kwa ajili ya mchezo wao wa Aprili 29
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment