Waziri wa Fedha,Mh. Saada Mkuya akihitimisha Hoja ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Fedha, Bungeni Mjini Dodoma Juni 23, 2015.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akipiga kura ya ndio wakati bunge lilipokuwa likipitisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo. Kulia ni Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum, Mh. Diana Chilolo.


Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akijadiliana jambo na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe wakati wa kupiga kura bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo. Kulia ni Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum, Mh. Diana Chilolo
.
Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda
akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Asiye na Wizara Maalum,
Profesa Mark Mwandosya na Mbunge wa Kigoma Mjini,Mh. Peter Serukamba
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 23, 2015.
0 comments :
Post a Comment