Leo May 1, 2017 Tanzania imeunga na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa sherehe hizo zimefanyika katika viwanja vya Ushirika wilayani Moshi katika Mkoa wa Kilimanjaro ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Magufuli.
Kila ifikapo May 1 kila mwaka Dunia huadhimisha Siku ya Wafanyakazi ikiwa ni kutambua, kuthamini, kujali na kuheshimu mchango wao katika maendeleo ya Dunia kwa ujumla ambapo katika kuiadhimisha siku hii Tanzania imekuwa na kauli mbiu inayosema: ‘Uchumi wa Viwanda uzingatie Haki, Maslahi na Heshima kwa Wafanyakazi’.
Hizi ni picha 4 za maadhimisho ya May 1 kutoka mkoani Mwanza ambazo zimefanyika katika uwanja wa CCM Kirumba na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa huo John Mongela.
VIDEO: Hotuba ya JPM kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani – Kilimanjaro. Bonyeza play kutazama…
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment