Mwenyekiti
wa Taifa wa Chadema,Freeman Mbowe akimkabidhi kadi ya uanachama wa
chama hicho, Mh.Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa leo katika hoteli ya
Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akizungumza na mamia wakati wa kutangaza
adhima yake ya kujiunga na Chadema katika Hoteli ya Bahari Beach jijini
Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akijibu maswali ya waandishi wa habari juu ya kujunga kwake katika Hoteli ya Bahari Beach leo jijini Dar es Salaam
0 comments :
Post a Comment