Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari Apata Ajali ya Chopa

Wednesday, July 8, 2015

  Nkupamah blog

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amepata ajali ya Chopa baada ya kuanguka juu ya mti jana jioni  katika Kijiji cha Leguruki, Wilayani Meru Jijini Arusha. 
 
Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hiyo, na Mbunge Nassari pamoja na Rubani wake wako Hospitali ya Seriani mkoani Arusha kwa matibabu baada ya kupata majeraha kwenye ajali hiyo.
Nkupamah blog
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment