


Mmoja
wa wawakilishi wa
kikundi cha akina mama akipokea fedha kwa niaba ya wenzake kutoka kwa
Meya wa Manispaa ya ilala ambazo alikuwa amewaahidi wakati wa mkutano
wa Meya huyo kuelezea mafanikio yake.

Baadhi ya madiwani na
wazee wa Ukonga wakimpongeza Meya Jerry Slaa kwa kutimiza ahadi alizotoa muda mfupi
baada ya kueleza mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wake ambapo vilevile
alitangaza nia ya kugombea Ubunge wa jimbo la Ukonga

Watoto wakitoa burudani
wakati wa mkutano huo

Sehemu ya umati wa watu
waliohudhuria mkutano huo wakishangilia kwa furaha baada ya kuguswa na hotuba
ya Meya Jerry Slaa

Baadhi ya madiwani na
viongozi wa CCM kata ya Ukonga wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano
huo.
0 comments :
Post a Comment