MKUTANO MKUU WA TATU WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI IRINGA (IPC) WA UCHAGUZI

Wajumbe wa mkutano mkuu wa tatu wa IPC wa uchaguzi wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka wanachama waliotangulia mbele ya haki ambao ni aliyekuwa mwenyekti Daudi Mwangosi, Mweka Hazina Vick Macha na mjumbe wa kamati tendaji Mzee Fulgence Malangalila uliyofanyika Ukumbi wa Lutheran Center mjini Iringa.
Mwenyekiti wa IPC, Frank Leonard akifungua mkutano mkuu wa tatu leo katika Ukumbi wa Lutheran Centre mjini Iringa. Kushoto ni Mweka Hazina Msaidizi Janeth Matondo na Katibu Mtendaji Francis Godwin. (PICHA ZOTE NA FRIDAY SIMBAYA)

Mjumbe wa kamati tendaji Tukuswiga Mwaisumbe akiwasilisha taarifa ya IPC VICOBA. 
Wajumbe wa mkutano wa tatu wa IPC wakifuatilia mkutano
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment