Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika daftari la
kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektoniki(Biometric
Voters Register( BVR) katika kijiji cha Msoga,kata ya Msoga wilayani
Bagamoyo leo.Kulia akiangalia kwa makini ni mwandikishaji msaidizi
Bi.Happyness Thomas Misana na katikati ni Afisa TEHAMA kutoka ofisi Tume
ya Taifa Uchaguzi Bi.Mariam Rajabu.Kushoto aliyesimama akishuhudia ni
Mbunge wa Chalinze Ridhwani Kikwete.
Afisa TEHAMA kutoka ofisi ya Tume ya Uchaguzi Taifa ya Uchaguzi Bwana
Sanif Khalfan akichukua lama za vidole vya Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete wakati Rais alipokwenda kujiandikisha kijijini kwake Msoga
wilaya ya Bagamoyo leo .
Bwana SANIF Khalfan ambaye ni Afisa TEHAMA kutoka ofisi ya Tume ya
Taifa ya Uchaguzi akimpiga picha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati
Rais alipokwenda kujiandikisha kupiga kura kwa kutkumia teknolojia mpya
ya BVR kijijini Kwake Msoga leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitambulisho chake wakati wa zoezi la kujiandikisha kijijni kwake Msoga leo.
Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva
akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kitambulisho chake cha kupiga
kura baada ya Rais Kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga
kura kwa kutumia teknolojia ya BVR huko kijijini Msoga wilayani Bagamoyo
leo
0 comments :
Post a Comment