Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Mhe Dk Mwinyihaji Makame
akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe Raila Amolo Odinga
alipofika Ofisini kwake kumsalimia akiwa Zanzibar kushiriki Mkutano wa
Kuimarisha Masuala ya Ushirikiano katika Amani Usalama na Maendeleo kwea
Nchi za Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika kesho Zanzibar.
Waziri Mwinyihaji akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe Raila
Odinga alipofika Ofisini kwake kumsalimia akiwa Zanzibar kuhudhuria
Mkutano wa Ushirikiano na ASmani Usalama Afrika Mashariki.
Waziri
wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora, Mhe Dk Mwinyihaji Makame
akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe Raila Amolo Odinga
alipofika Ofisini kwake kumsalimiana akiwea Zanzibar akihudhuria Mkutano
wa Kimataifa wa Kuimarisha Masuala ya Ushirikiano katika Amani Usalama
na Maenndeleo kwa Nchi za Afrika Mashariki, unaotarajiwa kufanyika kesho
Zanzibar.
Waziri
Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe Raila Amolo Odinga akiwa na ujumbe wake
akizungumza na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk
Mwinyihaji Makame alipofika kumsalimia akiwa Zanzibar kuhudhuria Mkutano
wa Maendeleo kwa Nchi za Afrika Mashariki.
Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe Raila Amolo Odinga akiwa na ujumbe
wake akizungumza na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora
Dk Mwinyihaji Makame alipofika kumsalimia akiwa Zanzibar kuhudhuria
Mkutano wa Kuimarisha Masuala ya Ushirikiano katika Amani Usalama na
Maendeleo kwa Nchi za Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika Zanzibar
kesho.
Waziri Mwinyihaji akiagana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe Raila Odinga. Kwa hisani ya ZanziNews


0 comments :
Post a Comment