WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MH LAZARO NYALANDU AFUNGUA MKUTANO WA UBORESHAJI WA MFUMO WA USIMAMIZI NA UENDESHAJI MAENEO YA JUMUIYA YA HIFADHI YA WANYAPORI TANZANIA ( WMA ), ARUSHA

8
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza na wadau na viongozi wa Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori nchini (WMA), ulioanza jana jijini Arusha kujadili uboreshaji mfumo wa usimamizi na uendeshaji jumuia hizo.
6
7
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akifuatilia majadiliano wakati wa mkutano wa wadau na viongozi wa Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori nchini (WMA), ulioanza jana jijini Arusha.

1
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii wakati alipofungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana jijini Arusha.
  2
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na mdau wa masuala ya utalii na uhifadhi nchini, Willy Chambulo, muda mfupi baada ya kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana jijini Arusha.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment