Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji (ZAWA) dkt.Nustafa Ali Garu akitoa maelezo
kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipofika kuzindua mradi wa Maji safi na salama na uhifadhi mazingira katika kijiji cha Taif Wete unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) katika Mkoa wa kaskazini Pemba leo.
[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji wakijiapanga wakati wa mapokezi ya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipofika kuzindua mradi wa Maji safi na salama na uhifadhi mazingira katika kijiji cha Taif Wete unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) katika Mkoa wa kaskazini Pemba leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipofika kuzindua mradi wa Maji safi na salama na uhifadhi mazingira katika kijiji cha Taif Wete unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) katika Mkoa wa kaskazini Pemba leo.
Wanafunzi wa Skuli Sekondari na msingi katika Wilaya ya Wete wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa Maji safi na salama na uhifadhi mazingira katika kijiji cha Taif Wete unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) katika Mkoa wa kaskazini Pemba leo.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walioungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi
Dk.Ali Mohamed Shein katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Maji safi
na salama katika kijiji cha Taif Wete Pemba,ambao unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) wakiangalia ratiba ya sherehe hiyo iliyofanyika leo.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali na wageni wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake leo katika sherehe za uzinduzi
wa Mradi wa Maji safi na salama katika kijiji cha Taif Wete Pemba,ambao
unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB)
0 comments :
Post a Comment