Rais Kikwete akifungua Mkutano wa
siku tatu wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki
unaofanyika katika Hoteli ya Malaika Beach Resort Mwanza.
Baadhi ya washiriki wa Mkuano huo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano wa Chama
Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki.
(Picha na Freddy Maro)
0 comments :
Post a Comment