Mmoja
wa wakufunzi wa masomo ya ujasiriamali Kutoka Chuo Kikuu Dar es salaam
Profesa Humphrey Mushi akizungumza katika semina ya ujasiriamali
inayotolewa na Taasisi ya utafiti ya vyuo vikuu vya afrika na kusini mwa
Afrika (ESAURP) kwa wafanyabiashara ndogondogo mkoa wa mbeya katika
ukumbi wa shule ya St.Agrey jijini Mbeya Agosti 24 mwaka huu.(Picha
Emanuel Madafa Mbeya wa JAMIIMOJABLOG).
Mwakilishi
wa Taasisi ya Esaurp kutoka jijini Dar es salaam Ndugu Peter Celestine
akizungumza katika mafunzo hayo ya siku tano yaliyolenga kuwapatia
wajasiriamli hao Ujuzi, Mbinu, maarifa pamoja na stadi za biashara ili
kuwezesha ukuaji wa biashara zao.
Baadhi ya wajasirimali kutoka maeneo tofauti tofauti Mkoani mbeya wakiendelea kupatiwa mafunzo.
Mmoja wa walimu katika mafunzo hayo Ndugu Upendo Mwinuka akizungumza na wajasirimali hao (hawapo pichani).


0 comments :
Post a Comment