HABARI KWA UFUPI!


Waziri wa Elimu wa zamani Joseph Mungai na mkewe wamekihama
Chama cha Mapinduzi na kujiunga na Chadema huko Mafinga leo.
Hii ni baada ya Mgombea Urais wa Ukawa Edward Lowassa kuingia Iringa leo
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment