
Tume
ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuweka Wazi Daftari la Awali la Wapiga
Kura katika Mikoa yote ya Unguja na Pemba kuanzia tarehe 03/09/2015 hadi
tarehe 07/09/2015 ili Umma uweze kupata nafasi ya kulikagua Daftari la
Awali na kutoa taarifa za kufanyiwa marekebisho pale inapostahili.


0 comments :
Post a Comment