Kaimu
Mwenyekiti wa kamati ya Usalama Barabarani, Thabeet Massa akimkaribisha
mgeni rasmi katika mazimisho ya wiki ya nenda kwa Barabarani
yaliyofanyika katika viwanja vya Mwembe yanga Temeke jijini Dar es
Salaam leo.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Mkowa wa Temeke, Endrew Satta akihutubia wananchi
juu ya kuendesha kwa usalama ili kuokoa maisha katika wiki ya nenda kwa
Barabarani iliyofanyika katika Mwembe yanga Temeke jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke, Endrew Satta akiwakabidhi vyeti
baadhi ya madereva wa bodaboda waliofuzu mafuzo ya Pikipiki katika wiki
ya nenda kwa Barabarani iliyofanyika katika viwanja vya Mwembe yanga Temeke jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkowa wa Temeke, Endrew Satta akitembelea mabanda ya maonyesho ya wiki ya nenda kwa usalama Barabarani iliyofanyika katika viwanja vya Mwembe yanga Temeke jijini Dar es Salaam leo.
Umoja wa
waendesha Pikipiki Temeke (UWAPITE) wakiwa kwenye picha ya pamoja
katika vianja vya Mwembeyanga katika maazimisho ya wiki ya nenda kwa
usalama Barabarani
0 comments :
Post a Comment