Chopa iliyombeba Mh Edward Lowassa ikitua uwanjani
Mh Edward Lowassa akiongozana na waheshimiwa wengine waliomsindikiza katika ziara yake ya kampeni mkoani Dodoma
Kina mama wakiimba kwa hisia kali
Mh Frederick Sumaye akiongea jambo fulani na Mh Edward Lowassa
Mh Edward Lowassa akihutubia wakazi wa Dodoma
Mh Frederick Sumaye akimwaga sera
Mh Frederick Sumaye na Mh Tundu Lissu wakiongea jambo fulani katika mkutano mkubwa mjini Dodoma
Picha kwa Hisani ya Othman Michuzi
0 comments :
Post a Comment