![]() |
| Maandamano ya askari polisi kuelekea katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama |
![]() |
| Maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama mkoa wa Iringa leo |
![]() |
| Askari wa FFU wakiwa katika maadhimisho hayo |
![]() |
| Viongozi wa jeshi la polisi na serikali ya mkoa wa Iringa pamoja na kamati ya usalama barabarani wakipokea maandamano hayo katikati ni mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akiongoza kupokea maandamano leo |
![]() |
| Mkuu wa mkoa Amina Masenza akipata maelezo katika banda la afya |
![]() |
| Mkuu wa mkoa Amina Masenza na mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa Iringa Salim Asas wakitembelea banda ya askari wa usalama barabarani |
![]() |
| Askari wa usalama barabarani wakionyesha kamera ya kisasa ya kupima spidi |
![]() |
| Mkuu wa mkoa Amina Masenza kulia na Salima Asas katikati na katibu tawala mkoa wa Iringa Ayubu Wamoja wakitazama kifaa cha kupima ulevi kwa madereva |
![]() |
| Bi Masenza na kamati ya ulinzi na usalama mkoa wakitazama gari la zima moto |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akijiandaa kuzima moto |
![]() |
| Wahitimu wa mafunzo ya boda boda wakipewa vyeti vyao |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza katikati akiwa na viongozi wengine wa mkoa wa Iringa |
































0 comments :
Post a Comment