Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na mgombea
udiwani wa Ukawa kata ya Tingi wilaya ya Nyasa, Bosco
Mapunda alipowasili katika kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma kwa ajili ya
mkutano wa kampeni kijijini hapo.
(Picha na Francis Dande)
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na baadhi
ya madiwani wa Ukawa wa Kata ya Tingi alipowasili katika kijiji cha
Tingi mkoani Ruvuma kwa ajili ya mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Nyasa.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na mgombea ubunge kupitia viti maalum, Anna Diwu.
Wananchi wa kijijicha Tingi mkoani Ruvuma wakifuatilia mkutano wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma
Duni Haji akiwa amembeba motto Tedy wa kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma wakati wa mkutano wa
kampeni uliofanyika kijiji hapo.
Duni Haji akiwa amembeba motto Tedy wa kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma wakati wa mkutano wa
kampeni uliofanyika kijiji hapo.
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimia na wananchi
wa kijiji cha Tingi katika jimbo la Nyasa wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika mkoani Ruvuma.

Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwatambulisha
madiwani wa Ukawa wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji
cha Tingi jimbo la Nyasa mkoani Ruvuma.
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimia na wananchi
wa kijiji cha Tingi katika jimbo la Nyasa wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika mkoani Ruvuma.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa amembeba motto Tedy wa kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji hapo.
0 comments :
Post a Comment