MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LUSHOTO KWA CHAMA CHA CHADEMA MOHAMMED MTOI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI


Mgombea wa Ubunge, jimbo la Lushoto kwa tiketi ya CHADEMA (Mohamed Mtoi) kafariki dunia katika ajali ya gari aliyopata baada ya kutoka kuzindua Kampeni yake tarafa ya Mlola. Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla. 
Gari alilopata nalo ajari marehemu

Mungu aiweke roho ya Marehemu Mohamed Mtoi Kanyawana mahali Pema Peponi
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment