Unachopaswa Kufanya siku ya Uchaguzi- Jumapili

Friday, October 23, 2015

  @nkupamah blog

Keshokutwa ni siku itakayokuwa na mambo mengi kwa sababu ya Uchaguzi Mkuu. Pamoja na ratiba ya kila mmoja lakini kupiga kura ni suala linalowaunganisha Watanzania wote. Ili kumchagua rais, wabunge na madiwani, yafuatayo yanapaswa kuzingatiwa:
 
1.Fika katika kituo cha kupigaji kura katika muda uliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambao ni kati ya 1:00 asubuhi hadi 10:00 jioni.


2.Usifanye kampeni ya aina yoyote siku hiyo.

3.Usivae sare zinazokutambulisha kuwa wewe ni mfuasi wa chama chochote cha siasa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment