Benki ya NBC yawezesha mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana


Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo)-Utawala, Dk. Joyce Peters Chonjo (kushoto), akikabidhi cheti kwa, Stella Jacob mmoja wa washiriki 300 wa mafunzo ya ujasiriamali yaliyoandaliwa kwa ushirikiano kati ya TUDARCo na benki ya NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wa pili kushoto ni Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu ch Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo)-Utawala, Dk. Joyce Peters Chonjo (kushoto), akikabidhi cheti kwa, Judith Peter, mmoja wa washiriki 300 wa mafunzo ya ujasiriamali yaliyoandaliwa kwa ushirikiano kati ya TUDARCo na benki ya NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wa pili kushoto ni Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter.
Meneja Ukuzaji wa Biashara wa Kitengo cha biashara ndogondogo na za kati wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Jonathan Bitababaje (kulia) akielezea mbinu za kufanya biashara na masuala ya mikopo kwa washiriki wa mafunzo ya ujasiriamali yaliyoandaliwa kwa ushirikiano wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo) na benki ya NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja Ukuzaji wa Biashara wa Kitengo cha biashara ndogondogo na za kati wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Jonathan Bitababaje ( wa pili kulia) akizungumza na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya ujasiriamali yaliyoandaliwa kwa ushirikiano wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo) na benki ya NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja Huduma za Jamii wa Benki NBC Tanzania, Irene Peter (katikati), akishikana mikono na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo), Dk. Joyce Peter Chonjo wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo ya ujasiriamali yaliyoandaliwa kwa ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo) na benki ya NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Ukuzaji wa Biashara wa Kitengo cha biashara ndogondogo na za kati wa NBC, Jonathan Bitababaje.
Baadhi ya washiriki 300 wa mafunzo kuhusu ujasiriamali na mbinu za ajira yaliyoandaliwa kwa ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo) na benki ya NBC wakiwa katika hafla ya ufungaji wa mafunzo hayo ya siku tisa yaliyokuwa yakifanyika chuoni hapo, jijini Dar es Salaam
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment