Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue kufanya ziara katika Hospitali ya Taifa Mhimbili Leo

imagesKatibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue atafanya ziara katika Hospitali ya Taifa Mhimbili leo Jumatatu (23 Novemba, 2015) kuanzia majira ya saa nne asubuhi.
Ziara hiyo ni kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliyeagiza fedha zilizochangwa ajili ya hafla ya wabunge zitumike kununulia vitanda vya wagonjwa katika hospitali hiyo.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasilino, IKULU
20 Novemba, 2015
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment