Makamu
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING akiwa kwenye
ukumbi wa Historia wa Makumbusho na Nyumba ya Utamani Dar es Salaam.
(picha na Sixmund Begashe)
Makamu
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING akiwa kwenye
ukumbi wa Historia wa Makumbusho na Nyumba ya Utamani Dar es Salaam.
Makamu
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING katikati
akiwa kwenye ukumbi wa Sanaa wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar
es Salaam.
Makamu
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING watatu
kushoto akiwa kwenye chumba mahususi akipewa maelezo na Dr Amandus
Kweka ya fuvu la Zinjanthropus lililopo Makumbusho na Nyumba ya
Utamaduni Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Makumbusho ya Taifa Prof Audax Mabula wakijadili jambo na Makamu
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING.
Mkurugenzi
wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es salaam Bw Achiles Bufure
akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG
PING.
0 comments :
Post a Comment