Jinsi ya kuondokana na janga na hatari a ugonjwa wa figo
1.Usichelewe kwenda HAJA. Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya.
Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.
Mara
mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha
maambukizi ya figo, pia njia ya mkojo na “nephritis”, pamoja na
“uremia”.
Wakati wito asili (unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo.
- Kula Chumvi kupita kiasi. Inatupasa kula Chumvi isiyozidi 5.8 gramu kwa siku.
- Kula nyama kupita kiasi.
Protini
ikizidi sana katika mlo wako inadhuru figo zako. Mmeng’enyo wa Protini
unazalisha amonia- sumu dutu ambayo ina uharibifu mkubwa kwa figo zako.
Nyama nyingi inaleta uharibifu zaidi wa figo.
- Unywaji mwingi wa “Caffeins”.
Caffein
hutokana na vinywaji vya Soda na vinywaji vingine laini kama Kahawa,
Redblue n.k. Hupandisha shinikizo la damu
na figo zako kuanza mateso. Unapaswa kupunguza kiwango cha Coke, Pepsi,
Red Bull, nk ambavyo hunywa kila siku.
- Kutokunywa maji.
Figo
zetu lazima zichakatwe vizuri kutekeleza majukumu yake vizuri. Endapo
hatunywi ya kutosha, sumu dutu inaweza kuanza kukusanyika katika damu,
kama hakuna kimiminika cha kutosha kutoa kwa njia ya figo.
* Kunywa zaidi ya bilauri 10 za maji kila siku.
Kuna njia rahisi ya kuangalia kama unakunywa maji ya kutosha: Angalia rangi ya mkojo wako; Wepesi wa rangi, ndiyo vzuri.
- Kuchelewa matibabu.
Tibu matatizo yako yote ya kiafya kwa uhakika na uwe unachunguza afya yako mara kwa mara.
Wapendwa na wapenzi wangu, hebu tujisaidie wenyewe… Shirikisha wengine, kama unajali.
—————-
Pia epuka vidonge hivi, ni hatari sana:
D- baridi*, Vicks Action- 500*, Actified*, Coldarin*, Cosome*,Nice*, Nimulid*, Cetrizet- D
Hivi vidonge vina Phenyl propanol- amide PPA ambayo husababisha stroke na ni marufuku Marekani.


0 comments :
Post a Comment