Sunday, November 29, 2015

Aliyekua mgombea Urais Tiketi ya UKAWA Mhe. Edward Lowassa akipita
mbele ya jeneza la Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa
Geita Ndugu Alphonse Mawazo.
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akipita mbele ya jeneza la
Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse
Mawazo.



















0 comments :
Post a Comment