MKUU WA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA HUBERT KAIRUKI ANOGESHA MAHAFALI YA KUMI NA TATU

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Dkt. Salim Ahmed Salim, akimtunuku  muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Dar es Salaam,  Beatrice Mugula  ambae ni Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili  (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
  Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akiwa katika pozi mara baada ya kuhitimu
 
  Muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Mwanaidi Nyalukunyo akiwa katika pozi
 Muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Mwanaidi Nyalukunyo akiwa na tabasam
 
 
 Baadhi ya wahitimu wa Kozi ya Uuguzi wakila Kiapo
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Dkt. Salim Ahmed Salim, akimkabidhi cheti  muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of
Social Work) Beatrice Mugula  ambae ni Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
 Beatrice Mugula, akiwapa mikono baadhi ya viongozi waliopo meza kuu mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) katika Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki
   Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akivaa kofi yake mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of
Social Work)
Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Slaam, Beatrice Mugula (wa pili kulia) akiwa na wenzake akipiga makofi mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) 
 
  Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) katika  Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki
 
  Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akiwa katiki pozi na muhitimu mwenzake wa fani hiyo, Mwanaidi Nyalukunyo
 
 
   Muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Mwanaidi Nyalukunyo akiwa katika picha ya pamoja na familia yake
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment