Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad
akiagana na kiongozi wa ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, baada ya kushiriki
mazishi ya Mbunge huyo mstaafu wa CUF.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad
akiwapungia mkono wananchi katika mtaa wa Mwembe Tanga Zanzibar, katika
hafla ya mazishi ya Mbunge huyo Mstaafu wa CUF.

0 comments :
Post a Comment