|
Bondia Vicent Mbilinyi akipima
uzito kwa ajili ya mpambano wake na Deo Njiku utakaofanyika katika
uwanja wa Jamuhuri Morogoro siku ya Desemba 25
|
| Mabondia Deo Njiku kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho katika uwanja wa jamuhuri Morogoro kwa ajili ya sherehe za xmas |
| Lulu Kayage akipima uzito |
| Mwanne Haji akipima uzito |
| Mabondia Thomas Mashali na Fransic Cheka wakitambiana baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa Desemba 25 utakaofanyika katika uwanja wa jamuhuri Morogoro . |
BONDIA IBRAHIMU CLASS KING CLASS MAWE AKIPIMA UZITO


0 comments :
Post a Comment