Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na viongozi na watumishi wa mkoa wa Kigoma kwenye ukumbi wa
NSSF katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya siku mbili mkoani
humo Desemba 30, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya watumishi na viongozi
wa mkoa wa Kigoma wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majliwa katika Kikao
cha Majumuisho ya ziara yake mkoani humo kwenye ukumbi wa
NSSF Desemba
30, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na baadhi ya watumishi na viongozi wa mkoa wa Kigoma katika
Kikao cha Majumuisho ya ziara yake mkoani humo kwenye ukumbi wa NSSF
Desemba 30, 2015.Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Issa Machibya, Wapili kulia
ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kigoma Walid Kabourou na watatu kulia ni
Katibu Tawala wa mkoa huo, Mhandishi Dkt. John Ndunguru (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akifurahia burudani ya ngoma na kwaya kabla ya kuondoka kwenye ukwanja
wa ndege wa Kigoma kurejea Dar es salaam Desemba 30, 2015. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments :
Post a Comment