Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Tumbatu pamoja na Viongozi mbali
mbali wakati alipofika Bandari ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa
katika ziara maalum ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Kisiwa hicho
leo,[Picha na Ikulu.] (30Disemba2015)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo wakati alipokuwa akiangalia ramani ya Ujenzi wa Bandari ya Tumnbatu kutoka waMhandisi
Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamadi
Mbarouk wa Shirika la Bandari
Zanzibar wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya
miradi ya maendeleo katika kisiwa cha Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja
leo,[Picha na Ikulu.] (30Disemba2015)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Wananchi wa Tumbatu Jimbo la Tumbatu waliofika katika
mapokezi wakati alipofika Bandari ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja
akiwa katika ziara maalum ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Kisiwa
hicho leo,[Picha na Ikulu.] (30Disemba2015)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua mfereji wa maji kuangalia upatikanaji wa Maji Safi na Salama
alipofanya ziara maalum ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Wilaya
Ndogo ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] (30Disemba2015)
Wananchi na Wanachama wa CCM Jimbo la Tumbatu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akiwasalimia mara alipofika kijiji cha Tumbatu Kichangani
kuangalia maendeleo ya miradi ya Maendeleo katika kijiji hicho leo
ikiwemo ujenzi wa Bandari na Maji Safi na Salama iliyofanikisha kwa
nguvu za Serikali ya Mapinduzi na Wananchi,[Picha na Ikulu.](30Disemba2015)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa shukurani zake kwa Wananchi wa Tumbatu Jimbo la Tumbatu
waliofika katika mapokezi wakati alipofika Kijiji cha Tumbatu Kichangani
Wilaya Ndigo Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara maalum
ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Kisiwa hicho leo,[Picha na Ikulu.](30Disemba2015)
Mzee Hassan Khamis Haji akiwa miongoni mwa Wazee waliokuwa wakimpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
kwa jitihada zake za kuwatembelea wakati alipofika Kijiji cha
Kichangani Wilaya Ndogo Tumbatu leo alipotembelea miradi ya maendeleo
ikiwemo wa Maji safi na Salama na Ujenzi wa Bandari iliyojengwa na
Mafundi wa Kijiji hicho kwa Usimamizi wa Shirika la Bandari
Zanzibar,[Picha na Ikulu.] (30Disemba2015)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati)
akifuatana na Wananchi pia Wanafunzi wa madrasa wakisoma Qaswida
wakati walipomshindikiza akiwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya
Miradi ya maendeleo ya Kijiji cha Kichangani Wilaya Ndogo Tumbatu leo
ikiwemo Ujenzi wa Bandari na Maji Safi na Salama,[Picha na Ikulu]
0 comments :
Post a Comment