Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –
Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akizungumza na
watumishi wa Bodi ya Mishahara na Masilahi katika Utumishi wa Umma
alipoitembelea ofisi hiyo mapema jana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –
Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (wa pili kulia)
akizungumza na watumishi wa Bodi ya Mishahara na Masilahi katika
Utumishi wa Umma alipoitembelea ofisi hiyo mapema jana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –
Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto)
akimsikiliza Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi. Claudia Mpangala
alipoitembelea ofisi hiyo mapema jana.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –
Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akitazama nyaraka
inayoandaliwa kutunzwa katika nakala laini (soft copy) alipoitembelea
Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa mapema jana
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –
Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kulia) akitazama
moja ya kifaa cha kutunzia kumbukumbu alipoitembelea Idara ya
Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa mapema jana.
0 comments :
Post a Comment