Nkupamah media
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (kulia) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Joyce
Mends-Cole, kuhusu masuala mbalimbali ya Wakimbizi. Mazungumzo hayo
yalifanyika katika ofisi ya Waziri Kitwanga, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Joyce
Mends-Cole (wapili kushoto) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Charles Kitwanga (katikati), kuhusu masuala mbalimbali ya
Wakimbizi. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Kitwanga,
jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi,
Harrison Mseke, na kushoto ni Naibu Mwakilishi Mkazi wa UNHCR, Robert
Tibagwa. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Mwakilishi Mkazi
wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR),
Joyce Mends-Cole, kwa ajili ya kufanya naye mazungumzo kuhusu masuala
mbalimbali ya Wakimbizi nchini. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (wapili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi
Duniani (UNHCR), Joyce Mends-Cole (wapili kushoto), Mkurugenzi wa Idara
ya Wakimbizi, Harrison Mseke (kulia) na Naibu Mwakilishi Mkazi wa
UNHCR, Robert Tibagwa. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
0 comments :
Post a Comment