Rebecca Malope Mwimbaji wa muziki
wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini akiwasili kwenye uwanja wa
ndege wa JNIA jana jioni hii tarayi kwa ajili ya kutumbuiza kwenye tamasha la
Krismass litakalofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es
salaam leo likishirikisha waimbaji mbalimbali wakiwemo wa nchini
Tanzania kama vile Rose Muhando, Upendo Nkone, Joshua Mlelwa na wengine
wengi , kushoto katika picha anayefurahia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya
Msama Promotion iliyoandaa na kumleta mwimbaji huyo Bw. Alex Msama.
Rebecca Malope Mwimbaji wa muziki
wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini akizungumza na waandishi wa
habari mara baada ya kuwasili nchini kwenye uwanja wa ndege wa JNIA
jijini Dar es salaam, waliosimama nyuma Bw. Alex Msama na mmoja wa
waratibu wa tamasha hilo Hadson Kamoga.
Rebecca Malope Mwimbaji wa muziki
wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini akisisitiza jambo wakati
akizungumza na waandishi wa habari wakati alipowasili kwenye uwanja wa
ndege wa JNIA.
Rebecca Malope Mwimbaji wa muziki
wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini akizungumza na mmoja wa
mashabiki wake kwenye uwanja wa ndege wa JNIA wakati alipowasili jijini
Dar es salaam.
Rebecca Malope Mwimbaji wa muziki
wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini akizungumza na mratibu wa
tamasha hilo Bw. Hadson Kamoga mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa
ndege wa JNIA jijini Dar es salaam
0 comments :
Post a Comment