MSOGA.Pwani.
RAIS mstaafu wa wamu ya nne,Dr Jakaya
Kikwete amewapa heri ya krismasi na mwaka mpya watanzania ,ambapo
amewataka kusherekea vema siku hizo kubwa kwa amani na utulivu huku
wakifikiria namna
ya kurejea katika hali ya kawaida kwa mwakani kwa
ajili ya kuendelea kulitumikia taifa lao.
Dr Kikwete amesema kuwa ni vema
watanzania wakatafakari katika siku hizi za sikukuu na pindi
zitakapoisha warejee katika kuijenga nchi kwa kushirikiana na viongozi
wa Serikali
0 comments :
Post a Comment