DAR ES SALAAM
Aliyekuwa
Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya awamu ya nne,Mhe
Lazaro Nyalandu amefunguka na
kumtikia kila la kheri mrithi wake katika
nafasi hiyo Pro Jumanne Maghembe ambaye ameteuliwa jana na Rais Dr
Magufuli kushika wadhifa huo.

0 comments :
Post a Comment