Chris Brown atuhumiwa kumpiga mwanamke


BrownBrown alikiri makosa ya kushambulia Rihanna mwaka 2009




Polisi katika jiji la Las Vegas, Marekani wanachunguza madai kwamba mwanamuziki mashuhuri wa R&B Chris Brown alimpiga
mwanamke Jumamosi.
Mwanamke huyo anadai msanii huyo alimgonga usoni alipojaribu kumpiga picha.
Kisa hicho kinadaiwa kutokea katika hoteli alimokuwa Chris Brown mapema Jumamosi asubuhi.
Mwanamuziki huyo hajazungumza lolote kuhusiana na madai hayo.
 Brown
Chris Brown na Rihanna walikuwa wapenzi
Mwaka 2009, Brown aliagizwa kukaa miaka mitano bila kufanya kosa baada ya kupatikana na hatia ya kumpiga nyota wa muziki wa pop Rihanna.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment