DK. SHEIN AFUNGUA STUDIO YA MUZIKI NA FILAMU ZANZIBAR

ST1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Studio ya Muziki na Filamu mara alipowasili katika viwanja vya Studio ya Rahaleo Mjini Unguja wakati wa ufunguzi wa Studio ya Muziki na Filamu leo ikiwa ni shamra shamra za
Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,[Picha na Ikulu.]
ST2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akiwaangalia wasanii walipokuwa wakitoa burudani yao  mara alipowasili katika viwanja vya Studio ya Rahaleo Mjini Unguja wakati wa ufunguzi wa Studio ya Muziki na Filamu leo ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,[Picha na Ikulu.]
ST3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya  ufunguzi rasmi wa Studio ya Muziki na Filamu uliofanyika leo katika jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,[Picha na Ikulu.]
ST4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Studio za Muziki na Filamu Bakari Shomari alipotembelea Studio ya kurikodia Muziki baada ya kufanya ufunguzi rasmi  uliofanyika leo katika jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,[Picha na Ikulu.]
ST8
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Studio za Muziki na Filamu leo uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
ST9
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein na Viongozi wengine wakiwaangalia wasanii wanavyorekodi wakiwa Studio wa Muziki wa Audio alipotembelea Studio za Kurikodia Filamu na Muziki  leo katika jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,[Picha na Ikulu.]
ST10
Msanii maarufu Makombora alipokuwa akisoma risala kwa niaba ya wasanii wenzake leo wakati wa ufunguzi wa Studio ya Muziki na Filamu leo,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,[Picha na Ikulu.]
ST11
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Sheinalipokuwa akitoa hutuba yake kwa wasanii katika sherehe za ufunguzi wa Studi ya Muziki na Filamu katika Jengo la zamani la Studio ya Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,[Picha na Ikulu.]
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment