Waziri
wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt, Harrison Mwakyembe (kulia) akiongea na
Waandishi wa Habari kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Sheria ikiwemo
majumuisho ya ziara yake aliyoifanya hivi karibuni. Kushoto ni Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo
Profesa Sifuni Mchome pamoja na Naibu Katibu Mkuu wake Bwana Amon
Mpanju, leo 5 Januari, 2016 Jijini Dar es Salaam.(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO)
| Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia taarifa toka Waziri wa Katiba na Sheria pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka (hawapo pichani) leo 5 Januari, 2016 Jijini Dar es Salaam. |


0 comments :
Post a Comment