Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akisalimiana na Naibu Waziri
wa Afya Mohammed Thabit Kombo wakati alipowasili katika hafla ya Uwekaji
wa
Mawe ya Msingi katika Jengo la Watoto na Mama na Mtoto mnazi mmoja
Hospitali Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akikunjuwa kitambaa ikiwa
ni ishara ya Uwekaji wa Jiwe la msingi katika Jengo la Mama na Mtoto na
baadae kuweka jiwe la Msingi katika Jengo la Watoto hapohapo Mnazi mmoja
Hospitali Zanzibar,ikiwa ni Shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akipata maelezo ya ramani ya
Jengo la Mama na Mtoto kutoka kwa mkandarasi wa Wizara ya Afya Mathna
Kassim Marin baada ya kuweka jiwe la msingi na kulitembelea mnazi mmoja
Hospitali.Ikiwa ni shamra shamra za Sherehe ya kutimia miaka 52 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein katikati akionesha ishara ya
jambo alipokuwa akitembelea Majengo ya Mama na Mtoto na jengo la watoto
baada ya kuyawekea mawe ya msingi Mnazi mmoja Hospital.Ikiwa ni shamra
shamra za Sherehe ya kutimia miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akisisitiza jambo wakati
akitoa hotuba ya Uwekaji wa Mawe ya msingi ya majengo ya Mama na Mtoto
na jengo la watoto Mnazi mmoja Hospital.Ikiwa ni shamra shamra za
Sherehe ya kutimia miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


0 comments :
Post a Comment