Mwenyekiti
wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Mtandao wa
Thehabari.com, Joachim Mushi akitoa neno la shukrani kwa Kampuni ya Tigo
kwa kuwakutanisha baadhi ya wamiliki na waendeshaji wa mitandao ya
kijamii (bloggers & website owner) katika hafla hiyo maalumu ya
chakula cha jioni iliyofanyika ‘Double Tree hotel’ jijini Dar es Salaam.
chakula cha jioni iliyofanyika ‘Double Tree hotel’ jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wageni waalikwa ambao ni wamiliki wa mitandao ya kijamii (bloggers
& website owner) wakiwa katika hafla maalumu ya chakula cha jioni
iliyoandaliwa na kampuni ya Simu ya Tigo kusherehekea mteja wa milioni
moja katika ‘Facebook’ ya kampuni hiyo. Tigo ilitoa zawadi mbalimbali
kwa wateja wanaofuatilia ukurasa wao (Facebook page).
Msanii
maarufu wa dansi nchini, Christian Bella akiwaburudisha wageni waalikwa
katika hafla maalumu ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na kampuni ya
Simu ya Tigo kusherehekea mteja wa milioni moja katika ukurasa wa
‘Facebook’ wa kampuni hiyo.
Msanii
maarufu wa dansi nchini, Christian Bella (kulia) wa Bandi ya Malaika
kulia akicheza na mmoja wa wageni waalikwa katika hafla maalumu ya
chakula cha jioni iliyoandaliwa na kampuni ya Simu ya Tigo kusherehekea
mteja wa milioni moja katika ‘Facebook’ ya kampuni hiyo.
Baadhi
ya wanamitandao ya jamii wakisakata rumba na msanii maarufu wa dansi
nchini, Christian Bella (wa tatu kulia) toka Bandi ya Malaika alipokuwa
akiwaburudisha wageni waalikwa ambao ni wamiliki wa mitandao ya kijamii
(bloggers & website owner) katika hafla hiyo maalumu ya chakula cha
jioni iliyofanyika ‘Double Tree hotel’ jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wanamitandao ya jamii wakisakata rumba na msanii maarufu wa dansi
nchini, Christian Bella (wa pili kulia) wa Bandi ya Malaika alipokuwa
akiwaburudisha wageni waalikwa ambao ni wamiliki wa mitandao ya kijamii
(bloggers & website owner) katika hafla hiyo maalumu ya chakula cha
jioni iliyofanyika ‘Double Tree hotel’ jijini Dar es Salaam.
“…TWANGA
PHOTOOO…” Baadhi ya wanamitandao ya jamii wakiji-selfie na Msanii
maarufu wa dansi nchini, Christian Bella wa Bandi ya Malaika mara baada
ya kutoa burudani.
Mshereheshaji
wa hafla hiyo, Taji Liundi (kulia) akimkaribisha Mwenyekiti wa Tanzania
Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Mtandao wa Thehabari.com,
Joachim Mushi kutoa neno la shukrani kwa Kampuni ya Tigo kwa
kuwakutanisha baadhi ya wamiliki na waendeshaji wa mitandao ya kijamii
(bloggers & website owner).
Mwenyekiti
wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Mtandao wa
Thehabari.com, Joachim Mushi (kushoto) akibadilishana mawazo na mmoja wa
maofisa kutoka kampuni ya Tigo, Shavkat Berdiev katika hafla hiyo.


0 comments :
Post a Comment