Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo katika killele cha sherehe za Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52,zilizofanyika katika uwanja wa
Amaan Studium
Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange wakiwa katika
kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52
katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja zilizofanyika leo ,[Picha na
Ikulu.]
Baadhi ya Wananchi na Maafisa mbali mbali wa Serikali wakiwa katika sherehe zaMapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52,zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaani Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu wakati alipowasili katika uwanja wa Amaan
Studium Mjini Unguja katika Kilele cha sherehe za Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar kutimia miaka 52,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange katika
kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52
katika Uwanja wa Amaan Studium zilizofanyika leo ,[Picha na Ikulu.]
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein katika
kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52
katika Uwanja wa Amaan Studium zilizofanyika leo ,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wananchi walioshiriki katika
kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52
katika Uwanja wa Amaan Studium leo akiwa katika gari maalum,[Picha na

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteremka katika gari maalum
alilopanda wakati akiwasalimia wananchi katika kilele cha Sherehe za
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan
Studium leo,[Picha na Ikulu.]

0 comments :
Post a Comment