MASKINI....Madawa ya Kulevya YAMMALIZA MSHIRIKI WA BIG BROTHER AFRIKA 'NANDO'....ACHAKAA VIBAYA .AWA OMBAOMBA CLUB

nandoo_full  


Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Ammy Nando khali yake yazidi kuwa mbaya yasemekana ni kutokana na matumizi ya dawa za kulevya ..Nando ambaye hupendelea kutembelea club za samaki samaki na eaters masaki nyakati za usiku huonekena akiwa anaranda randa maeneo hayo huku akiwa na bia mkononi ajabu zaidi hata muonekano wake umebadilika kutokana na kuwa rafu (mchafu) tofauti na alivyo kuwa amezoeleka nyakati za nyuma kwa usafi.
Hata hivyo mwaka juzi alisha wahi hojiwa na vyombo vya habari na  kusema 'Nimeacha Kutumia Madawa ya Kulevya, Ila Bagi ni Moja au Mbili kwa Siku'
Jamani ni matumaini yetu sote kumsaidia huyu kijana kwani khali yake ya sasa si nzuri hata kidog
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment