Mshauri
Mwelekezi wa masuala ya ununuzi Ofisi ya Rais – Utumishi Bw. Jones
Mapunda (kulia) akifafanua jambo wakati wa ufunguzi wa zabuni ya Mfumo
wa Utoaji
Tiba kwa Njia ya Kielektroniki mapema leo.
Mshauri
Mwelekezi wa masuala ya ununuzi Ofisi ya Rais – Utumishi Bw. Jones
Mapunda (kulia) akisoma moja ya zabuni wakati wa ufunguzi wa zabuni ya
Mfumo wa Ununuzi kwa Njia ya Kielektroniki Tanzania mapema leo.

0 comments :
Post a Comment