Nkupamah media on Sunday, February 28, 2016
Baada ya video queen Gigy Money kudai kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na Rich Mavoko na baadae staa huyo wa wimbo ‘Pacha Wangu’ kukanusha, Gigy Money aweka wazi chati zao za WhatsApp.
Gigy Money, alipost instagram chat hizo na kila moja kuiandika ujumbe wake. Hata hivyo baade alizifuta post hizo.
“Mimi mwenyewe sikujui vilevile” aliandika Gigy.
“Ahahhahaha unajua mavoko ntakudhalilishaaa ….mm ni mkimyaaa tu sio
Mpole ata kidogo …unajikuta umenisahau bwege ww” aliandika Gigy.
“Banduguuuuuu
kujichubua kwako ndio nkuogope weeee Richard wewe umeombaaa watu
wanipigie nisikutie aibu sasa unaletaaa utoto sina nachokipoteza
kumbukaaa I don’t care aliandika Gigy
0 comments :
Post a Comment